Picha za jamaa aliyefanana na marehemu Albert Mangwea

Picha za jamaa aliyefanana na marehemu Albert Mangwea

Wajua kila jambo linawezekana.........hii saa zingine mtu unazunguka zunguka kutafuta maisha huwa tunaacha na mazao sehemu tunazopita.....kama marehemu alikuwa amemfanana dingi wake.....aweza kuwa ndio dingi wa wote wawili......au hata baba mdogo wa marehemu akawa ndio baba wa jamaa.........kila jambo lawezekana.
 
Heeeeeh mbna amefanana nae sanaaah, mweeeeh
 
Back
Top Bottom