Picha za jeneza za Ivan ila.....

Picha za jeneza za Ivan ila.....

Kwahiyo mnataka kusema ka pakwa makeup nyeusi acheni baba wa watu apumzike jamamani daah wabongo noma au mnamuonea wivu zari kuvuta mpunga wa life insurance?
 
Yan huyu mange haishiwag uzushi sasa hata mengine anayoandikafa yawezekana sio ya kweli
 
Kuna kipande cha gazeti nimeona kuwa interpol wanataka kufanya uchunguzi wafukue kabuli la jamaa.......anyway ngoja muda uongee wenyewe
 
Kwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie

Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
upo sahihi sana katika hilo
 
997d350e1cabd7089b974069be9835cc.jpg
 
Kuna kipande cha gazeti nimeona kuwa interpol wanataka kufanya uchunguzi wafukue kabuli la jamaa.......anyway ngoja muda uongee wenyewe
Kifo cha mtu maarufu yeyote kina maneno maneno kuanzia kwa JF Ken, Elvis Presley, Tupac, MJ, Kanumba nk na hayo magazeti ni ya udaku sio reliable source. Ivan amekufa acheni maneno
 
Back
Top Bottom