kisiki kizito
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 676
- 858
Hizo ndo unasema Ivan ana uwezo wa kuzilipa Hata zingekuwa bill tatu ni nyingi mno kwa utajiri wa ivan
Bora kufake kifo... MkuuHizo ndo unasema Ivan ana uwezo wa kuzilipa Hata zingekuwa bill tatu ni nyingi mno kwa utajiri wa ivan
xXx: State of the UnionMovie ipi, triple x xander cage au?
Ha ha ha ha ha ha!
Jingalao au Barafuyamoto.Inabidi tumtume mwana jamvi mmoja akachunguze uko kuzimu kama yupo pendekezeni nani aende
Nitumeni Mimi Ila msinisahau mnipe na nauli YA kurudi.... Nije nimalizie awamu YA baba jesca.... [emoji23][emoji23]Inabidi tumtume mwana jamvi mmoja akachunguze uko kuzimu kama yupo pendekezeni nani aende
upo sahihi sana katika hiloKwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie
Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
mi nampendekeza The Choosen One.Inabidi tumtume mwana jamvi mmoja akachunguze uko kuzimu kama yupo pendekezeni nani aende
Usijari tutaenda wote mamaami nampendekeza The Choosen One.
Kifo cha mtu maarufu yeyote kina maneno maneno kuanzia kwa JF Ken, Elvis Presley, Tupac, MJ, Kanumba nk na hayo magazeti ni ya udaku sio reliable source. Ivan amekufa acheni manenoKuna kipande cha gazeti nimeona kuwa interpol wanataka kufanya uchunguzi wafukue kabuli la jamaa.......anyway ngoja muda uongee wenyewe