Picha za jiji la Montreal Canada

Majengo ya kizamani sana....haikuti mashariki ya kati na mbali
 
Majengo ya kizamani sana....haikuti mashariki ya kati na mbali
Canada ni nchi iliyoendelea, sio nchi inayoendelea.

Mashariki ya kati na mbali ni nchi zinazoendelea ndio maana unakna majengo ya mitindo mipya. Montreal ilishaendelea.

Jambo la pili, kuyabadilisha hayo majengo yawe na mavioo vioo na kuwaka waka kama yaliyoko china sio kazi ngumu, ni kazi ndogo tu.

So usibabaike na mavioo na majengo mapyaa.
 
Unawaabudu wazungu🤪😜🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…