Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Napenda sana tatoo
Tatizo rangi yako... Itabidi utumie chaki au chokaa.
Tatizo rangi yako... Itabidi utumie chaki au chokaa.
Tatizo rangi yako... Itabidi utumie chaki au chokaa.[/QUOTE
Kama mim hapo ntapendeza sana kwa chokaa tena ile weather guard
Kumpiga picha na hizo tattoo kuna maanisha nini???Shida nini hasa hapo?
Tatizo rangi yako... Itabidi utumie chaki au chokaa.[/QUOTE
Kama mim hapo ntapendeza sana kwa chokaa tena ile weather guard
naogopa avatar yako baba sharon:disapointed::faint2:!!!! napita jaman
Hivi kavaa sketi au nyanya puzo!!!
ukistaajabu ya bieber....hujayaona na huyu...
kavaa gauni ama tshirt..??
naogopa avatar yako baba sharon:disapointed::faint2:!!!! napita jaman
#Charty unaogopa nini hapo jamani na ninavyosifika kuwa mi ni mhandsome unanishangaza tena.....
Mkuu ni utambuzi wa kawaida ili kujua mtu. Polisi wote duniani hufanya hivi.