Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Justin Bieber tangu mwaka jana amekuwa akifuatwa na visanga na kuingizwa korokoroni mara kwa mara. Staa huyu mwenye albamu ya Journal ameweza kupigwa picha na polisi kutoka Miami Police Department na picha hizo zimetolewa kwa umma waziangalie.
Ok round hii Bieber hakuwa na chake kwani polisi iliwalazimu wamvue nguo zake zote na kumpekua tattoo zake zote za mwilini...
Baadhi ya picha zenyewe ndizo hapo chini...
Chanzo kutoka: bkuHABARI Blog
Ok round hii Bieber hakuwa na chake kwani polisi iliwalazimu wamvue nguo zake zote na kumpekua tattoo zake zote za mwilini...
Baadhi ya picha zenyewe ndizo hapo chini...
Chanzo kutoka: bkuHABARI Blog