Uchaguzi 2020 Picha za kampeni za CHADEMA, Nkasi Kaskazini

Kwa kuzuia mawakala na kuzuia simu kutumika, Chadema chali,,ila baada ya hapo Mimi hata kama tutakuwa wawili tu na Tundu Lissu nitaingia barabarani, kuna watu wanafikiri ni keyboard worrier, Siku ikifika watajua..
Eti keyboard warriors laiini tumewashika vibaya mno.
 

Ndio maana mkamshauri Lissu arudi huko ili muweze kuuhadaa umma na kuwajengea hofu wakubwa wa CCM na Taifa, imekula kwenu safari hii. Ile Γ wamu ya kutengeneza fedha kwa kutishia na kujenga mazingira ya kuwa kuna hofu isiyokuwepo ilishapita na hairudi tena. JPM sio Rais wa kutishiwa nyau, kajifunze kitu kule Namibia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…