Uchaguzi 2020 Picha za kampeni za CHADEMA, Nkasi Kaskazini

Uchaguzi 2020 Picha za kampeni za CHADEMA, Nkasi Kaskazini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Aida Khenan ambaye ni Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkasi Kaskazini akiendelea kuomba kura kwa wananchi kama alivyotumwa na Chama chake

Subpost 3 - Aida Khenan Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa  ( 482 X 640 ).jpg
Subpost 4 - Aida Khenan Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa  ( 480 X 640 ).jpg
Subpost 2 - Aida Khenan Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa  ( 480 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Aida Khenan Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa  ( 479 X 640 ).jpg

Njia pekee ni kuzuia Mawakala kuingia na simu kwenye vituo vya kupigia kura
 
Kwa kuzuia mawakala na kuzuia simu kutumika, Chadema chali,,ila baada ya hapo Mimi hata kama tutakuwa wawili tu na Tundu Lissu nitaingia barabarani, kuna watu wanafikiri ni keyboard worrier, Siku ikifika watajua..
Eti keyboard warriors laiini tumewashika vibaya mno.
 
Pumbavu huko mwanza shule zilifungwa na walimu wakalazimishwa pamoja na wanafunzi wao wakamsikilize MAGUFULI kupitia mirindimo ya zuchu na DIAMONDI baada ya burudani mageti yakafungwa ili wasitoke !
Mnamdanganya nani kwamba MAGUFULI anakubalika??? Wehu sana nyie

Ndio maana mkamshauri Lissu arudi huko ili muweze kuuhadaa umma na kuwajengea hofu wakubwa wa CCM na Taifa, imekula kwenu safari hii. Ile àwamu ya kutengeneza fedha kwa kutishia na kujenga mazingira ya kuwa kuna hofu isiyokuwepo ilishapita na hairudi tena. JPM sio Rais wa kutishiwa nyau, kajifunze kitu kule Namibia.
 
Back
Top Bottom