Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Ndio tutaingia na camera sasa
Lazima achanganyikiwe, the only hope he has is to use cohesive apparatus which is the snare set by international organisations and people. Akithubutu tu imekula kwake na wenzake....Hachomoki
Sasa nakuona umeongea sana sasa hoja yako ni nini?Acha mikwara hii, Lissu pamoha na mikwara yake kala siku 7, akabakia kuzurura mazenze kununua magagulo. Pale kibamba sijui Kiluvya alishinda gadi kiza na wanaume yeye akiwa anapayuka wao wamemeza pini wabamuangalia tu. Ashukuriwe Askofu aliyekuja kumfichia aibu Lissu.
Kuna mataga wapo kuteteta na kupinga kila hoja, hii inadhihirisha ni jinsi hani walivyo weupe na hawajui walitetealoSasa nakuona umeongea sana sasa hoja yako ni nini?
Sasa nakuona umeongea sana sasa hoja yako ni nini?
Kwahiyo mlivyomkosa kumuua sasa ndio mmeamua kumtukana ?Ni hii, Lissu ni binadamu aliejitoa akili akaamua kujipakaza kinyesi mwili mzima kama kinga yake. Akasahau dunia ya sasa kuna gloves na mask za pua.
The world is watching. Akinyanyua tu mkono. DRONE INAONDOKA NA MTU wameshamuonya sana.Lazima achanganyikiwe, the only hope he has is to use cohesive apparatus which is the snare set by international organisations and people. Akithubutu tu imekuka kwake na wenzake....
MUNGU ibariki CDM
Changamoto zinajenga kama ukizichukulia response nzuriHongera CDM imekuwa taasis kubwa mbali ya figisu kubana demokrasia Watanzania wengi wanajitambua.
Hongera CDM imekuwa taasis kubwa mbali ya figisu kubana demokrasia Watanzania wengi wanajitambua.
Ina shida gani?Simu kituoni ya nini?
mmewazuia kufanya siasa miaka mitano,bado unajisifu umewashika😀😀 kwa hesabu za kisiasa nyie ndo mmeshikwa pabaya sana.mlichotegemea sicho mlichokikuta field...CCM IMEKATAKIWA KONA ZOTE ZA DUNIA NA MBINGUNI.Eti keyboard warriors laiini tumewashika vibaya mno.
Kessy huku hana chake
Acha mikwara hii, Lissu pamoja na mikwara yake kala siku 7, akabakia kuzurura manzese kununua magagulo. Pale kibamba sijui Kiluvya alishinda hadi kiza na wanaume yeye akiwa anapayuka wao wamemeza pini wanamuangalia tu. Ashukuriwe Askofu aliyekuja kumfichia aibu Lissu.
Ooooh watamwongezeaje jiwe muhula wa tatu?Kessy huku hana chake
Waingie nazo za Nini, mwambieni mgombea wenu Kyela aondoke king solomoni akalale kwake usaleAida Khenan ambaye ni Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkasi Kaskazini akiendelea kuomba kura kwa wananchi kama alivyotumwa na Chama chake
Njia pekee ni kuzuia Mawakala kuingia na simu kwenye vituo vya kupigia kura
Mim n mwana CCM ila uko Nkasi nashauri wamchague mgombea wa CDM uyo Ally Kesi Ni Kirusi bungeni.Aida Khenan ambaye ni Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkasi Kaskazini akiendelea kuomba kura kwa wananchi kama alivyotumwa na Chama chake
Njia pekee ni kuzuia Mawakala kuingia na simu kwenye vituo vya kupigia kura
Huku Nkasi si ndio Luna jamaa haipendi zanzibarAida Khenan ambaye ni Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkasi Kaskazini akiendelea kuomba kura kwa wananchi kama alivyotumwa na Chama chake
Njia pekee ni kuzuia Mawakala kuingia na simu kwenye vituo vya kupigia kura