Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Ndio tutaingia na camera sasa
Acha mikwara hii, Lissu pamoja na mikwara yake kala siku 7, akabakia kuzurura manzese kununua magagulo. Pale kibamba sijui Kiluvya alishinda hadi kiza na wanaume yeye akiwa anapayuka wao wamemeza pini wanamuangalia tu. Ashukuriwe Askofu aliyekuja kumfichia aibu Lissu.