Uchaguzi 2020 Picha za kampeni za CHADEMA, Nkasi Kaskazini

Picha za kutengeneza
Mkuu hazijatengenezwa hizo pic huyo dada namfahamu vizuri ana ushawishi mkubwa maeneo ya mwambao wa ziwa Tanganyika.
All kessy labda ategemee mbeleko ya dola.
 
Ni hii, Lissu ni binadamu aliejitoa akili akaamua kujipakaza kinyesi mwili mzima kama kinga yake. Akasahau dunia ya sasa kuna gloves na mask za puani.
IQ yako ni hafifu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…