Picha za kufikirisha/Intelligent photos only

Picha za kufikirisha/Intelligent photos only

What bout this art
 

Attachments

  • IMG_20240528_071917_127.jpg
    IMG_20240528_071917_127.jpg
    123.1 KB · Views: 9
  • IMG_20240528_071933_872.jpg
    IMG_20240528_071933_872.jpg
    127.1 KB · Views: 8
  • IMG_20240528_071856_247.jpg
    IMG_20240528_071856_247.jpg
    78.1 KB · Views: 9
Describe this
Japo inajielezea ila nitajaribu...
Kuna muda unaempiga vita hata yeye bado ana familia huko alipo..
Hvo ifikie kipindi tuwe tunatoa msaada....

Ndo hapo maza baada ya kuona wanaokula mahindi ni familia kabisa ya nyani..
Kuna roho ya huruma kapata na kuamua kuacha tu
 
Different brain attitudes!/mmoja anaumiza kichwa 24hrs,mmoja AME relax tu.View attachment 2209606
Ina maana nyingine tofauti pia nazani hii ndo itakua major...
Angalia hapo kuna tabaka la maskini na tajiri...
Uweziukasema mmoja anaumiza kichwa na mwingine ame relax wakati huyu mmoja inaonesha kabisa hayupo oky kuanzia mavazi mpaka afya
 
Najiuliza sana kila siku kama Mabeberu waliweza kutufunga minyororo kirahisi hivi!!! ...... kwa nini walitumia nguvu nyiiingi, na Gharama kuubwa kuwekeza Makoloni yao humu Africa??

Sababu Babu zetu hawakukubali kirahisi, kuiuza Africa! kwao hao wazungu!.yaani zilipigwa na zikapigwa mpaka leo ni ivo ivo! tuuu!!........Msumbiji,kenya, zimbabwe nk zilipigwa hasa!! piga nikupige!

kwa mfano Nyerere kawatolea nje kirahisi tu!! na walikoma na kuiheshimu Tanzania!......Dume kama hili Wazungu walivo wanyonge vile eti ulikamate ulifunge Mnyororo! si lita kunyonya Mimacho live!

Tena wazungu walivo warembo vile!!...usinambie eti walikuwa na Gobori ....hizo risasi atapiga ngapi?, ataua wangapi? kabla mwingine hajamfikia??..

Utumwa tumepigwa na kitu kizito kichwani ..haukuwepo....Yesu ni Mwafrica.........Waafrica kataeni hilo!!..... USA, EUROPE,S/AMERICA ni Mali yetu, yaani Mabara yetu,

Twende tukakae kinguvu, wakikataa zipigwe mpaka walie poo!....tukalianzishe tuu waungwana hapo Bongo hakuna kitu! tuanze kukamata kila kinu cha Nuclear! kilipo kwanza !! na MAghala ya siraha!

Hapo Bongo mmekaa tu hamna kazi twendeni tukalianzishe huko!! tupate Maisha kwa nguvu! kwanza waafrica tuna fanana wooote! twendeniiii! tukafe kishujaa hukooo!

wataandika Historia wanaume acheni uoga, hakuna kushindwaaaa!! Dhahabu zooote, Almas zetu watazitapika live tuko wengi kuliko Siraha zao! hawawezi kutuua woote!

Hili wazo liende Africa nzimaaa!...Msiogope.........ukiona wa mbele yako muoga mmalize hapo hapo! then tusonge mbele!! tumechoka kukaa Africa ya Majanga hii!
MIMI NIMEANZA HIVI JE WEWE??
Umeelezea tofauti na maana ya hy picha.

Hapo n kwamba unatakiwa kuchukulia positive au kubadili - kuwa + kwenye kila hali unayokuwa nayo haijalishi inakuumiza kiasi gani.

Hapo anapaka minyororo rangi ya dhahabu, sasa zingatia hapo kwenye dhahabu wakati yupo kifungoni.
 
Back
Top Bottom