Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860

Hivi karibuni kuna baadhi ya picha zimekua zikisambaa kwa kasi zikimuonyesha staa ambaye ni mdogo kiumri lakini anafanya makubwa katika tasnia ya filamu, picha hizo zinamwonyesha staa huyo akiwa katika chumba ambacho kinaonekana ni gest.

Lulu akiwa gest na pozi la mahaba!

Lulu akioneka kama mtu aliyechoka sana baada ya kazi nzito.