Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hii ni photoshop tu, lulu hana tattoo ya ndege
tatoo yake ni ya maneno imeandikwa "only god can judge"
Aaaaaa hebu angalia foolish age hiyo tatoo anayoo banaa utanilipa ujueee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni photoshop tu, lulu hana tattoo ya ndege
tatoo yake ni ya maneno imeandikwa "only god can judge"
Mnataka alie kila siku mamii?
Maisha lazima yaendelee
Ajifiche fiche na hayo mapicha yakeee
mbona simuoni John Komba?
mbona simuoni John Komba?
Komba hapo alishamaliza biashara , ameshakula ndogo ,,,,,, akampiga na Altezza saiv anakula na wengine.
Labda unisimulie tu nna allergy na bongo movieAaaaaa hebu angalia foolish age hiyo tatoo anayoo banaa utanilipa ujueee
Eeh alihongwa alteza? Mbona nasikia anaendesha toyot ist
Komba hapo alishamaliza biashara , ameshakula ndogo ,,,,,, akampiga na Altezza saiv anakula na wengine.
mmhh katamu haka kabint
Kwn lulu hana haki ya kukazwa?sa we hpo umeona ajbu gan mpka unaleta ushangingi kama huo humu ndan?badilikeni watanzania kila mtu ana uhuru bnafc na maisha yke.
Nani alimtuma awe kioo cha jamii?suarez wewe unadhani kwanini amepigwa ban miezi 4?ukishakuwa kioo baadhi ya watu wanakuiga hususani watoto
Sasa watoto wako wanaomwona huyu lulu kwenye movie zake unataka nao wakalale Gesti?
Jiongeze!