Picha za Lulu akiwa GESTI zavuja!

Hii ni photoshop tu, lulu hana tattoo ya ndege
tatoo yake ni ya maneno imeandikwa "only god can judge"

Aaaaaa hebu angalia foolish age hiyo tatoo anayoo banaa utanilipa ujueee
 
Watanzania ni wa ajabu sana..kwani kuwa gesti ni kosa? Si kaenda kupumzika?
 
sikapendi kalulu ila kuna ubaya gani na kwenda guest kama alkua safarini ultaka aje kulala kweni
 
Kwn lulu hana haki ya kukazwa?sa we hpo umeona ajbu gan mpka unaleta ushangingi kama huo humu ndan?badilikeni watanzania kila mtu ana uhuru bnafc na maisha yke.
 
Kwn lulu hana haki ya kukazwa?sa we hpo umeona ajbu gan mpka unaleta ushangingi kama huo humu ndan?badilikeni watanzania kila mtu ana uhuru bnafc na maisha yke.

Nani alimtuma awe kioo cha jamii?suarez wewe unadhani kwanini amepigwa ban miezi 4?ukishakuwa kioo baadhi ya watu wanakuiga hususani watoto
Sasa watoto wako wanaomwona huyu lulu kwenye movie zake unataka nao wakalale Gesti?
Jiongeze!
 

Cjui utkua na umri gani ila ki ukwel we n zezeta hv kna kosa gan amfnya hpo?lbda ujitambui ila

1.hakuna picha hata moja inayoonyesha yuko uchi hpo

2.hmna ushaid rasmi unaotmbulisha hpo ni guest house

3.hzo poz hta dada yko anaweza kuweka akiwa rum kwke

BADILIKA "UMBEA UNAACHIKA"
 

Kama mtoto amelelewa ki guest guest atalala tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…