Jamani Guest tafsiri yake ni nini?Nenda ulaya useme unatafuta Guest uonne kama utaeleweka.Na ukisema umalizie ni Guest house ambayo ni nyuma ya wageni,sasa unataka alale nje ugenini?mbona jamii hamjiamini.Mbona ukiwa chumbani kwake hamsemi anacho kifanya?hebu mkue kidogo na muelimike.