Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Samahani wakuu huyo dada ni mfanyabiashara wa ile kitu?
Samahani wakuu huyo dada ni mfanyabiashara wa ile kitu?
Hivi Snura naye unaweza sema ana shepu ya kushtua mtu. Mimi mwenyewe hanipati hata robo. Labda angalau huyu. wanaomponda huyu wa kawaida ila Snura hamfikii.
Hivi Snura naye unaweza sema ana shepu ya kushtua mtu. Mimi mwenyewe hanipati hata robo. Labda angalau huyu. wanaomponda huyu wa kawaida ila Snura hamfikii.
Kuna ule msemo wa zamani unaosema kuwa chema chajiuza, kibaya chajitembeza, lakini huu msemo hautafanya kazi hapa.
Kulingana na model huyu kutoka Ghana, anendelea kueneza kuwa yeye ndiye mwenye hips kubwa afrika nzima.
owk! kuna wengine watadai kuwa Snura ndiye mwenye kiuno cha kuvutia na mapaja na makalio makubwa, lakini je atayaweza ya Matilda?
Tukiongea ya Matilda Hipsy hebu mwanzo angalia picha zake alizozipiga kuonyesha baraka aliyoumbwa nayo...Snura anatosha hapo?View attachment 132883
View attachment 132884View attachment 132885View attachment 132886
Chanzo:
[h=3]Picha 10 Za MATILDA HIPSY, Model Wa Ghana Anayedai Kuwa Na Makalio/Hips Makubwa Afrika Nzima [/h]
Weka picha tukuone kama kweli Snura hakufikii?..
Hutaki kuamini basi. Nimerithi kutoka kwa my mama. Hatareeee we amini hivyo, namshukuru Mungu wengine wanatafuta michina.
Hutaki kuamini basi. Nimerithi kutoka kwa my mama. Hatareeee we amini hivyo, namshukuru Mungu wengine wanatafuta michina.