Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Kuna ule msemo wa zamani unaosema kuwa chema chajiuza, kibaya chajitembeza, lakini huu msemo hautafanya kazi hapa.
Kulingana na model huyu kutoka Ghana, anendelea kueneza kuwa yeye ndiye mwenye hips kubwa afrika nzima.
owk! kuna wengine watadai kuwa Snura ndiye mwenye kiuno cha kuvutia na mapaja na makalio makubwa, lakini je atayaweza ya Matilda?
Tukiongea ya Matilda Hipsy hebu mwanzo angalia picha zake alizozipiga kuonyesha baraka aliyoumbwa nayo...Snura anatosha hapo?

Chanzo:
[h=3]Picha 10 Za MATILDA HIPSY, Model Wa Ghana Anayedai Kuwa Na Makalio/Hips Makubwa Afrika Nzima [/h]