Picha za mazingira yetu mazuri

Kweli kabisa mkuu. Umasikini wetu unatokana na kuongozwa na akili ndogo ya CCM.
Maisha mazuri na kuondowa umasikini hakuletwi na CCM. Usijidanganye.

wenyewe kwenye CCM wengi wetu ni wachumia tumbo tu.

Ukisubiri CCM au mwengine yeyote yule akuondowe kwenye umasikini, utasubiri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…