Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kigoma hakika kuna fukwe tamu, nilifurahia sana mandhari nzuriView attachment 2840012
Picha imepigwa kutoka upande wa Lake Tanganyika Hotel nyakati za jioni kabisa jua likielekea kuzama, mandhari nzuri kabisa ya muonekano wa ziwa Tanganyika hakika Kigoma kunapendeza sana by Kigoma Region Tanzania