KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani wa kulaumiwa hapo dada yangu kipenziZiwa lote hilo halafu tunasikia wakazi wanaolizunguka hawana maji ya kutosha na ni masikini.
Hakika umasikini wetu ni wa akili.
Wanaoishi kando ya ziwa, wamengoja zaidi ya miaka 60 je Mzanzibari kuwafunguwa akili? Mradi alioanzisha mama Samia, anachukuwa maji hapo hapo na mengine anayafikisha Dodoma.Nani wa kulaumiwa hapo dada yangu kipenzi
Ova
Wewe una budget ya kufanya mradi wa maji? Cha kulaumiwa ni sera mbovu za Chama Cha MapinduziWanaoishi kando ya ziwa, wamengoja zaidi ya miaka 60 je Mzanzibari kuwafunguwa akili? Mradi alioanzisha mama Samia, anachukuwa maji hapo hapo na mengine anayafikisha Dodoma.
Halafu unauliza nani wa kulaumiwa? Hakika Tanzania, hususan wa bara huku, adui yetu ni mmoja tu:
Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti. Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kebehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa. Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote...www.jamiiforums.com