Wewe umetumia nokia ya torch kupost hizo picha hebu rudi haraka.:embarassed2::embarassed2::embarassed2:
Weka link.
Hiyo mijengo imesombwa na mafuriko?
Wakijenga tena uniite....
sion kitu hapo.............
weka na hati tuone majina yaliyo andikwa huko kama ni ya kwao.
Daaa,hapo umewabana mbaya...weka na hati tuone majina yaliyo andikwa huko kama ni ya kwao.
Washa taa!!
mjengo wa cheni na wema mbna inafanana??