Picha za mijengo ya wasanii wa bongo muvies

Picha za mijengo ya wasanii wa bongo muvies

yoelisahe

Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
72
Reaction score
21
hii ni ya s
shilole.JPG
hilole

IMG_2910.jpg


hii ya lulu

/SPs2IsiC3PL1RBTPNU6b0yKH7XYgoH4Z8n18ZO1y*fNG*jla*66zv1PooAaPOGQFGyvsU92zHgXkA*sDZS6jRY*2RS0MxB2g/IMG_2910.jpg?width=650[/IMG]

hii ya hot lulu
WEMA11.JPG


mjengo wa wema
nyumbayadk.cheni.jpg


ya dr cheni

nyumbayadk.cheni.jpg
 
Wewe umetumia nokia ya torch kupost hizo picha hebu rudi haraka.:embarassed2::embarassed2::embarassed2:
 
Hiyo mijengo imesombwa na mafuriko?
 
Alikuwa hajasikiliza utabili wa hali ya hewa kabla ya kuaplodi hizo picha
 
Wasanii wa Tz tatizo kweli mtu anapiga picha za geti tu afu anapost kuwa ni nyumba yake
 
weka na hati tuone majina yaliyo andikwa huko kama ni ya kwao.

actually the only guy that I know that "owns" a house in "Dar" ni Mtitu WIlliam... 90% ya hao wengine wamepanga kama sisi makabwela.
 
Back
Top Bottom