Picha za mishono mbalimbali ya vitenge

Picha za mishono mbalimbali ya vitenge

03498ad705ee00868fce9fcaf3385104.jpg
 
Napenda sana mashati ya vitenge najiona Bomba sana
pande za wapi mkuu?
 
Wakuu mm nataka type za mashati ya vitenge na haswa dizain za urembo wa mbele naomba mnisaidie
 
Napenda sana mashati ya vitenge najiona Bomba sana
pande za wapi mkuu?
Hajajibu hadi leo..ndiyo shida yetu hatuko vizuri kwenye masoko na matangazo..au amekujibu pm wakati na wengine tulikuwa tunasubiria
 
Back
Top Bottom