Picha za muonekano wa soko kuu la Njombe

Ujenzi unaendeleaje🙉🙉🙉
 
Hii bado ni picha hata tofali moja halijawekwa hivyo Napendekeza Mleta mada abadilishe kichwa cha habari kisomeke"
Picha ya jinsi itakavyokuwa muonekano wa soko kuu la Njombe baada uya ujenzi kukamilika.
 
Lingekuwa Chato ingekuwa balaa ila huko kwingine sawa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…