Picha za muonekano wa soko kuu la Njombe

Picha za muonekano wa soko kuu la Njombe

Hii bado ni picha hata tofali moja halijawekwa hivyo Napendekeza Mleta mada abadilishe kichwa cha habari kisomeke"
Picha ya jinsi itakavyokuwa muonekano wa soko kuu la Njombe baada uya ujenzi kukamilika.
Jengo limeshapauliwa hopes wakandarasi watakabidhi befofe Septemba, 2020
 
Soko lenyewe limejengwa karibu na barabara kuu alafu kituo cha daladala kilipo hadi soko lilipo mtu unatembea kama unaenda kuzika

kwani ni lazima soko lijengwe stand!!!!, inawezekana kukawa na option ya kushusha na kupakia abiria
 
Kwani kwa mujibu wa mkataba mkuu lilipaswa likamilike lini
Kitambo sana almost 3yrs back ila likasimama ujenzi, mkulu akaenda tena siku hiyo nilikuwepo akatema bit hatari nikajua litachukua mwezi tu kumbe hadi sasa bado, 2018 October
 
Back
Top Bottom