chokambayaa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 546
- 69
- Thread starter
-
- #21
Jengo limeshapauliwa hopes wakandarasi watakabidhi befofe Septemba, 2020Hii bado ni picha hata tofali moja halijawekwa hivyo Napendekeza Mleta mada abadilishe kichwa cha habari kisomeke"
Picha ya jinsi itakavyokuwa muonekano wa soko kuu la Njombe baada uya ujenzi kukamilika.
Litawekwa sehemu gani mkuuSoko lenyewe limejengwa karibu na barabara kuu alafu kituo cha daladala kilipo hadi soko lilipo mtu unatembea kama unaenda kuzika
Soko lenyewe limejengwa karibu na barabara kuu alafu kituo cha daladala kilipo hadi soko lilipo mtu unatembea kama unaenda kuzika
Mleta mada jaribu kuongea kitu chenye uhalisia na sio kuleta mambo ambayo hata kuanza hayajaanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kuamini kuwa lile soko halijaisha hadi leo
Kwani kwa mujibu wa mkataba mkuu lilipaswa likamilike liniSitaki kuamini kuwa lile soko halijaisha hadi leo
Tz kwa Ma picha picha tu tuko vizuriSitaki kuamini kuwa lile soko halijaisha hadi leo
Mleta mada jaribu kuongea kitu chenye uhalisia na sio kuleta mambo ambayo hata kuanza hayajaanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitambo sana almost 3yrs back ila likasimama ujenzi, mkulu akaenda tena siku hiyo nilikuwepo akatema bit hatari nikajua litachukua mwezi tu kumbe hadi sasa bado, 2018 OctoberKwani kwa mujibu wa mkataba mkuu lilipaswa likamilike lini
Umeelewa swali?Bora lingewekwa nje kidogo ya barabara na kituo cha daladala kiwe hapo hapo karibu sio kama lilivyo kituo hadi kituo mbali mno na kuna askari maeneo yale ole wako gari lisimamae sasa ndio wamefanya nini.