Picha za mwisho za Yevgeny Prigozhin Bangui CAR

Zamani tulikuwa tunaletewa dini tena kwa kulazimishwa......siku hizi tunaletewa silaha ili tuuwane wenyewe kwa wenyewe na mali zetu kuibiwa ama kupewa fedha na waarab na kufukuza wamasai Loliondo kupisha hao waarab. Waafrika tunajidharau sana, inahuzunisha kwani hata Mungu anatushangaa.
 
How stupid Africans are.
For the first time umeongea vizuri, vipi maoni yako juu ya wajomba zako waarab kupewa Loliondo na kufukuza wenye nchi huko (wamasai)? Are we still stupid au waungwana kwa sababu Loliondo wamepewa wajomba zako?
 
Kuna uwezekano Africa ndio Bara kubwa kuliko yote duniani....Kuna Pahala Jiografia imedanganya...nakumbuka nilichukua masaa mengi sana....kuivuka CHAD......
 
.

Kama wewe unavyokenua meno huku ccm wakikuibia
 
Kuna uwezekano Africa ndio Bara kubwa kuliko yote duniani....Kuna Pahala Jiografia imedanganya...nakumbuka nilichukua masaa mengi sana....kuivuka CHAD......
Ulitumia masaa mangapi mkuu na ulikua unatoka wapi kuelekea wapi natamani sana kwenda hapo Chad Djamena ni Nchi iliyotolewa mfano wa Umasikini miaka nenda miaka rudi....pana jamaa alikua anasema hapo Mbuzi analamba mchanga hapachimbiki wala kuota kitu chochote mchanga ni wa Chuma...akitaka kuiponda Chad...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…