Picha za mwisho za Yevgeny Prigozhin Bangui CAR

Picha za mwisho za Yevgeny Prigozhin Bangui CAR

Mbona n nyie mnakenua mimeno kwa Waarabu.
.
IMG_20230823_174243.jpg
 
Mzuka wanajamvi,

Hizi picha ndio za mwisho Boss wa Wagner kupigwa huko Bangui Central Africa Republic na baadaye siku chache kuuawa.

Cha kushangaza hao wamatumbi pembeni yake wanakenua mimeno tu huku jamaa akiwaibia rasilmali zao Kwa wingi dhahabu, magogo na almasi.
View attachment 2732336View attachment 2732351View attachment 2732352
Nasikia jamaa alitaka ku mobilise viongozi waafrika waungane, Afrika iwe moja halafu yeye agombee na kuwa rais wa kwanza wa Africa.
 
Back
Top Bottom