SI KWELI PIcha za ndoa ya Christiano Ronaldo akiwa amemuoa mpenzi wake Georgina

SI KWELI PIcha za ndoa ya Christiano Ronaldo akiwa amemuoa mpenzi wake Georgina

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Katika mitandao ya kijamii kumekuwa na picha ikisambaa ikumuonyesha mchezaji wa mpira Chiristian Ronaldo akiwa amefunga ndoa ,je picha hiyo ni ya kweli?
1785822250440.jpeg


1785822341684.jpeg
 
Tunachokijua
Cristian Ronaldo ni mchezaji mpira katika klabu ya Al Nassr FC ambayo inashiriki ligi kuu ya Saud Arabia pia yupo kwenye mahusiano ya muda mrefu na mwanamitindo Georgina Rodriguez.

Kupitia mitandao ya kijamii, kumekuwapo na picha inayosambaa ikiwemo mtandao wa X zamamni Twitterikumuonesha mchezaji wa mpira Cristian Ronaldo akiwa amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Georgina Rodriguez .

JamiiCheck imefanya ufuatiliaji kwa kutumia zana za kidigitali na kubaini kuwa picha hizo si halisi bali zimetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya AKili Unde. Ingawa kupitia mitandao ya kijamii kumekuwa na taarifa zinazobainisha kuwa Mchezaji huyo anatarajiwa kufnga ndoa hivikaribuni.
1785847716774-png.3643213
Back
Top Bottom