Picha za ngono na nguvu za kiume

Picha za ngono na nguvu za kiume

Utakuja kuwa muigizaji na wewe shauri yako, hivi kwanin wenzako wanapeana raha weweunashinda ukiwaangalia usitafute na wewe wa kukupa raha
 
Utaathirika kisaikolojia na ndo mwanzo wa kupungua kwa nguvu za kiume, kuna hatari ya kutoridhika kimapenzi maana utataka kuiga stail za hao wafanya biashara ambazo si nzuri kwa matumizi ya binadamu
 
Achana na hizo mambo, ni upuuzi kujiweke ratiba ya kutazama hayo makitu.
Ova
 
Utaathirika kisaikolojia na ndo mwanzo wa kupungua kwa nguvu za kiume, kuna hatari ya kutoridhika kimapenzi maana utataka kuiga stail za hao wafanya biashara ambazo si nzuri kwa matumizi ya binadamu

asante mkuu kwa ushauli wako.
 
wana jamii naomba ushauri, mimi napenda sana kuangalia video za ngono yaani huwa naweza kuangalia kwa muda mrefu bila kuchoka, kuna madhara gani naweza kupata? naomba mnijuze.

Kama unaenjoy kuangalia madhara unayataka ya nini.
 
wana jamii naomba ushauri, mimi napenda sana kuangalia video za ngono yaani huwa naweza kuangalia kwa muda mrefu bila kuchoka, kuna madhara gani naweza kupata? naomba mnijuze.

Wacha kabisa,itakuthiri vibaya kisaikolojia
 
mimi napenda sana kuangalia video za ngono yaani huwa naweza kuangalia kwa muda mrefu bila kuchoka, kuna madhara gani naweza kupata? naomba mnijuze.

Picha uangalie wewe lakini madhara yake utuulize sisi!!!

Hata hivyo labda nikuulize, unapata faida gani kuangalia filamu hizo???
 
Hakuna madhara makubwa kiviile vinginevyo ungeshayapata ila unapata faida ya kuona nyuchi au majuchi tofauti tofauti.
 
mkuu achana nazo...zitakuathiri kisaikolojia ikiwa ni pamoja na kushidwa kujua njia sahihi ya kutiana...ukiwa na demu unaigiza style za picha za ngono ambazo haziapply kwenye mazingira ya kawaida...maana wale wanacheza na angle za kamera na kutia chumvi nyingi
 
Mbaya zaidi upate mechi ya ugenini na mwanaume anaengalia hizo picha!!!!!!!!!!!! utajuta kutoa papuccii
 
achana hiyo ki2 mkuu...nguvu zitapungua sana tu,..just imagine pornstArs km pinky cherokee lethal lips ni wazuri hasa...sasa ukija uku uswahilini kwetu kuna km hao???stimulation unayopata kwenye porn in your real life huwezi kuipata mkuu..
 
huwa ni fikra zangu wengi wanaoangalia hizi picha za ngono kama hawajaoa wakienda kuoga ni mwendo wa puchu kwa siku kama anaoga mara tatu basi hata puchu mara tatu!!!!
mkuu vp upande wako unapiga sana puchu au laaa!!!!???
 
Mbaya zaidi upate mechi ya ugenini na mwanaume anaengalia hizo picha!!!!!!!!!!!! utajuta kutoa papuccii

huwa inaleta ladha kwake kuwa kakubinua hv na hv na wengi wanajitangaza mfano kama mimi ndo nilicheza mechi na wewe basi nasema kwa washkaji kuwa nilimtia tinna cute nikamweka staili hz na hz mpaka anaomba poo!!!
 
Last edited by a moderator:
wana jamii naomba ushauri, mimi napenda sana kuangalia video za ngono yaani huwa naweza kuangalia kwa muda mrefu bila kuchoka, kuna madhara gani naweza kupata? naomba mnijuze.

Wewe endelea tu kuangalia, ukimaliza mwishowe utakua "kozmeni"
 
Back
Top Bottom