PICHA ZA NJE NDANI BASI(MABASI 3)MAPYA YA SIMBA WALIYOPEWA LEO.KUDOS CEO

Daaah!! Simba na Barbara punguzeni kutupa raha....

Aisee
Duh ama kweli ushabiki ukizidi nako ni ulevi. Yaani mtu anaona atapata raha wakati haambulii hata jero kwenye huo mkataba. Raha wasipate wanaonufaika na mkataba uje upate wewe mshabiki unayesubiria tu timu ipate matokeo mazuri ndio faraja yako. Na tena na kiingilio cha mechi unatozwa ili uone mechi.
 
Aisee kumbe dem wa mkude yuko vizuri kichwani....
 
Africarriers ni kampuni wahindi ya kuuza na kukopesha magari, kwa ajili ya kuweka kumbukumbu sawa isije ikatokea huko mbeleni tukaambiwa kwamba haya magari tulikopa na tunatakiwa kulipa
 
Kumbe kuna timu bado inapanda mibasi ya kichina na mitata mpaka leo

Hongera sana Yanga maana mna Marcopolo IRIZAR bus kaali
 
Hongereni.
Mwakani Mo anunue Ndege ili kudhihirisha ukubwa wa Simba.

Hadi sasa hii timu imeshajitenga kimafanikio na vijitimu vingine vinavyopenda mijisifa ya Mdomoni tu.
We kweli mbumbumbu nikajua ungesema iwekwe mikakati kama timu kununua ndege kumbe unalia kwa mo tena hahahah
 
Kumbe kuna timu bado inapanda mibasi ya kichina na mitata mpaka leo

Hongera sana Yanga maana mna Marcopolo IRIZAR bus kaali
ni kweli kabisa duniani ni Utopwinyo na Real madrid tu ndiyo wanamiliki
 
Nimeipenda hii YUTONG
Iko kama ile yenye choo ndani, Iko vizuri
 
Mi mshabiki wa Yanga,kwa kweli kuna vitu lazima tukubali Simba mmetuzidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…