CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
- Thread starter
-
- #81
siyo Yutong wametangaza ni Golden triangle kama jina la pili nimelipatia poa ila la kichina Golden something...Nimeipenda hii YUTONG
Iko kama ile yenye choo ndani, Iko vizuri
siyo Yutong wametangaza ni Golden triangle kama jina la pili nimelipatia poa ila la kichina Golden something...
Hili ndo unasema gari tamu?Imagine wale mademu na u-20 wataanza kula ride kwenye gari tamu hivyoooo, lile tata sijui likfanywe nini sasa? wauze tu
siyo Yutong wametangaza ni Golden triangle kama jina la pili nimelipatia poa ila la kichina Golden something...
Haya mabasi ya kichina tuliyopewa kumbe bei ghali sana, basi moja si chini ya milioni 460