Jimmy Romio
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 367
- 278
Nyumba 2 ziko kwenye compound moja.
YA KWANZA ina master 1 na chumba cha kawaida kimoja pamoja na jiko, baraza ya nyuma kwa ajili ya jiko, dinnning & sitting room (bei 350,000/-)
YAPILI ina master 1 na vyumba vya kawaida 2 pamoja na jiko, baraza ya nyuma kwa ajili ya jiko, dinnning & sitting room (bei 500,000/-)
MAZUNGUMZO YAPO

JIKONI

KABATI LA MASTER BED ROOM

SEBULE

SEHEMU YA NJE YA FENCE YA NYUMBA ZOTE

BARAZA YA JIKO KWA NYUMA
NB: Nyumba ziko Mbezi Luis Mji Mpya. Bei ya pango maelewano. Kama utahitaji wasiliana nami kwa namba 0754 55 51 96 (Shayo) au email [email protected]