Jimmy Romio
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 367
- 278
mkuu nyumba imetulia sana, ila nakushauri hamishia hili bandiko kwenye Jukwaa la Matangazo, wadau wengi wataliona
Nna Laki moja kwa mwezi Mkuu,
Ila nitalipa kodi ya miaka mitano...
Kama inalipa sema nije tusaini Mkataba?
Mbezi Luis Mji mpya.mkuu ipo eneo gani?
Mbezi Luis Mji mpya.
mkuu laki mbili na nusu, kodi ya miezi sita
Kumbe ndio maana wakuu wa Wilaya na mikoa wa enzi za Mwl hawakujenga!! Watu wanajisahau waki ishi kwenye nyumba nzr kama hizi, ni bora unyeshewe ndio upate challenge ya kujenga.
Mradi wa nyumba mzuri sana.....
Nyumba nzuri ziko poa...
Anajisahau anadhani ndo amejenga yeye...ila nyumba ya kupanga ni ya kupanga tu...kodi inachosha sana bora uishi kwenye mbavu mbili lakini ni kwako...
Dirisha kioo. Air Kondishena hamna . Mbona hakutalalika humo?Mbezi Luis Mji mpya.
Dirisha kioo. Air Kondishena hamna . Mbona hakutalalika humo?
Sister siuchukue moja, umeona jiko lakini? garden?