Jimmy Romio
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 367
- 278
- Thread starter
-
- #21
Mmeshindwa? Ni bei au?
Haina maslahi, umeona kitu chenyewe lakini? finishing za ukweli. malipo ya kodi ni kwa mwaka.
Mkuu ebu fafanua Mbezi Luis mji mpya ndiyo wapi?
KWA pan go la mwaka na bei yako kwa MBEZI ni vigumu!