Ss mbona we ndo povu la kishabiki linakutokaRussia aachane na mnyonge Ukraine yeye kama kweli ana ubavu avamie tu jirani yake yeyote ambaye tayari ni mwanachama wa Nato kama Poland, Slovakia, Hungary au Romania ndio tuone ubabe wake.
Halafu hata huyo Ukraine mbona hawajamvamia wanaishia tu kuzurura kwenye mpaka tu na baridi yote huko.
Malizia kusoma, nilikuwa sijamaliza kuandika.Ss mbona we ndo povu la kishabiki linakutoka
Kwa kujaribu tu,nenda kamvamie yule jirani yako anaetiririsha maji taka kwenye eneo lako.Russia aachane na mnyonge Ukraine yeye kama kweli ana ubavu avamie tu jirani yake yeyote ambaye tayari ni mwanachama wa Nato kama Poland, Slovakia, Hungary au Romania ndio tuone ubabe wake.
Halafu hata huyo Ukraine mbona hawajamvamia wanaishia tu kuzurura kwenye mpaka tu na baridi yote huko. Urusi ya kweli ilikuwa ile ya akina Stalin, Brezhnev na Andropov lkn sio hii ya akina Putin ambayo ni Paper Tiger [emoji197][emoji234]
Elewa tu kuwa hakuna nchi inayopenda vita. Ukiona nchi imeamua kuingia vitani basi ni kwasababu njia zote zimeshindikana. Huanza na diplomasia, ikishindikana inakuja MIKWALA, ikishindikana inakuja MIKWALA MIZITO ZAIDI KAMA HII YA KUFANYA MAZOEZI NA KUSOGEZA MAJESHI, IKISHINDIKANA BASI NDIPO INASEMA HAKUNA NAMNA NATUMIA NGUVU " DO or DIE"Russia aachane na mnyonge Ukraine yeye kama kweli ana ubavu avamie tu jirani yake yeyote ambaye tayari ni mwanachama wa Nato kama Poland, Slovakia, Hungary au Romania ndio tuone ubabe wake.
Halafu hata huyo Ukraine mbona hawajamvamia wanaishia tu kuzurura kwenye mpaka tu na baridi yote huko. Urusi ya kweli ilikuwa ile ya akina Stalin, Brezhnev na Andropov lkn sio hii ya akina Putin ambayo ni Paper Tiger π―π
Sijaelewa relevance ya andiko lako na la kwangu.Kwa kujaribu tu,nenda kamvamie yule jirani yako anaetiririsha maji taka kwenye eneo lako.
Kivipi?US should stop policing the world. Hii yote ni jitihada za kumchokoa Vladimir Putin ili wamdhoofishe kiuchumi, then China. But, Putin is always the man of the march--always 2,000 hours AHEAD! π