Picha za Shilole akiwa "CHOBINGO" na Mwimbaji wa Koffi Olomide

Kumbe naye bado yuko kwenye stage ya kung'ata vidole?! Au ana mzuga mutu ya kongoman?
 
Shilole huyo mkaka ni vile kaja na koffie au nini mbona hana tofauti na mandela wa twanga pepeta?
 
Msiwe na vichwa vizito jamani, Huyo jamaa anamuawakilisha kofii...eti mwimbaji wa kofii thubutu...Picha ya kwanza jamaa alikuwa anamwambia.."Mukonzi kasema ukuye kwa Hoteli..." Hamuoni hilo tabasamu analotoa mtoto shilole ?
 
Msiwe na vichwa vizito, Eti muimbaji wa kofi..mbona mnamchukulia Shilole poa...Jamaa katumwa na mukonzi, na kwenye picha ya kwanza anamwambia "Mukonzi kasema ukuye kwa Hoteli" ndio maana unaona mtoto full tabasam..chezea Shilole weye
 
Hiyo sura sio ya shilole.. shilole tunamjua vizuri tu sana. Shilole hana kijungu kilichotuna hivyo
 
Hapo anamwambia wewe ipo msuri sana kwa nini mutu iko pata tabu daslam twende kuparisi muyumba
 
Sijui jamaa kamwambia nini hadi kang'ata kidole lol.

Just out of curiosity.. Ukiondoka na jamaa kama huyu ni kwamba kakupa mkwanja wa kutosha, au kwakuwa si mtz labda itahusika ktk cv yako, au coz ni rapa wa mwanamziki maarufu??

Duh... Ndo mana wakina fulani fulani huwa hawaishi kuuliza what so special with WAKONGO lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hata kama umeleta hizi picha for justification, bado haifuti ujinga alioufanya uchebe, hiyo ni zamani na sahivi amekua ni mtu mwingine muwe mnatofautisha nyakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…