Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msela hapo kichwa cha chini kimeshavurugika na mtoto bado analeta pozi[h=3][/h]
Tukio hilo lilitokea ndani ya Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar, ambapo Shilole alienda kwa ajili ya kushuhudia shoo ya mwanamuziki huyo.
Akiwa ndani ya viwanja hivyo, Shilole alijikuta akishobokewa na mmoja wa wanamuziki wa Koffi ambaye jina lake halikupatikana mara moja ambapo kuna muda wawili hao walikutwa nyuma ya jukwaa jamaa akiimbisha.
![]()
Haikuweza kufahamika mara moja kama Shilole alimkubalia mshikaji huyo lakini wadakuzi wanadai baada ya shoo kumalizika, mwanamuziki huyo alimfuta tena Shilole na kuongozana naye hadi kwenye gari alilokwenda nalo pale ukumbini.
![]()
Kumbe ya miaka zaidi ya kumi?Mwenyewe si alikwenda kuwinda?
So kapata