cross road
Member
- Mar 22, 2013
- 31
- 2
Mkuu, wewe sio mdau wa muziki ila unawekwa mjini na huyu Diamond. Kama kweli unapenda maendeleo ungekua unapost na wasanii wengine.
hao wengne hakuna wanachokfanya,ni kma hawapo vile na hawafany juhud zozote so nipost nin?matukio yao ya 200z?