Picha za Trump na Flaviana Matata Zaibua Mambo Bongo

Trump ndiye alikuwa Boss wa Miss Universe kama alivyokuwa Lundenga Na Miss Tanzania. Flavian alikuwa mshiriki na mshindi. Hapo kuna kosa gani mmiliki wa tuko kupiga picha Na mshiriki?
 
Na kwa taarifa yenu Trump hakopeshi...............
 
Ya kumshika kiuno inautata je na ile aliobusu miss
 
Trump alishawahi kuwa owner wa Miss 'universe kama nitakuwa sijakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…