Picha za Trump na Flaviana Matata Zaibua Mambo Bongo

Picha za Trump na Flaviana Matata Zaibua Mambo Bongo

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Picha za Trump na Flaviana Matata Zaibua Mambo Bongo



Mgombea urais tajiri wa Chama Cha Republican, Donald Trump akiwa nna mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata (kulia) na Miss Albania 2010, Angela Martini (kulia).

DAR ES SALAAM: Zikiwa zimesalia takriban siku 53 kufika Novemba 8, mwaka huu, siku ya Uchaguzi wa Urais wa Marekani, picha za mmoja wa wagombea wake kutoka Chama Cha Republican, Donald Trump na mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata zinazowaonesha ‘live’ kwenye redcarpet zimeibua mambo, Ijumaa linafunguka.

DONALD NA FLAVIANA
Donald Trump ni mgombea urais tajiri ambaye ni mfanyabiashara aliyefanikiwa duniani na mwenye kauli tata dhidi ya wageni na matajiri wenzake nchini Marekani huku Flaviana Matata akiwa ni binti wa Kitanzania aliyetwaa Taji la Miss Universe Tanzania 2007. Akiwa mmoja wa mamodo wa kimataifa wenye mafanikio Bongo, Flaviana ambaye ni Mkurugenzi wa Flaviana Matata Foundation (FMF) kwa sasa anaishi na kufanyia kazi zake za kutangaza mavazi huko New York nchini Marekani, akiwa amepitia lebo nyingi kubwa za mavazi za nchini humo.



Donald Trump akimbusu Miss Albania 2010, Angela Martini na Flaviana Matata akishangaa.


SOURCE; MUUNGWANA BLOG
 
Flaviana-Matata-4.jpg


And who knows but that you have come to your royal position for such a time as this?
 
sasa utata upi kwan hzo picha zimepigwa lin?
 
Namkumbuka flavy alivyokuwa anasoma pale Arusha Technical College.alivyokuwa mshamba mshamba kweli maisha yanabadilika sema ana akili sana ya darasani huyu dada.

Watoto wa mbosoli bwana !

UnataKa kusema watoto wa shy town walikuwa washamba washamba yeye Ibra ,Sham,Deo mmmmhhhhhhh
 
amenifurahisha alivyokuwa anashangaa, mdomo wote waziiii...ndo mambo ya kizungu we c uliogopa kupigwa busu???
 
Back
Top Bottom