Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
868
Reaction score
1,385
Picha alizoweka msanii Wema Sepetu zimekuwa gumzo mtandaoni Instagram baada ya kuzipost katika Account yake.

Sema dah nimeangalia hizi picha kama 6 au zaidi na nimemuelewa huyu kada wa CHADEMA.

Duh hatari sana.

WhatsApp Image 2017-06-23 at 13.59.58(2).jpeg
WhatsApp Image 2017-06-23 at 13.59.58(1).jpeg
 
Uzuri anao
Shepu anayo
Urefu anao
Tabasamu ndo kabisaaa
Sauti ya chumbani ndo usiseme
Nundu lipo
Kudeka anajua

Najiulizaga kwann hapati mume wa ndoa ????!!! .....familia ni kitu cha furaha sana mkiwa na watoto wenu ......
 
Back
Top Bottom