Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
- Thread starter
- #21
Hapo unataka kusema katumia camera360 au?Mbona kila kitu ni feki, apige bila kutumia app yoyote wala make up kama vile ambavyo mimi napiga zangu tuone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo unataka kusema katumia camera360 au?Mbona kila kitu ni feki, apige bila kutumia app yoyote wala make up kama vile ambavyo mimi napiga zangu tuone.
Haa hips mpaka gotini mzee hatari mchina..Ila hips za siku hizi kiunoni mpaka magotini jamani enyi wachina Mjue Mungu anawaona kuna kiama sijui mtajibu nini
Inamwagika.Hiyo mihps inakaribia magotinii lol
Hatari wema ni kisuu
Wema mzuri aisee
Nguva mtuMbona anafanana na yule sijui Samaki mtu?
"Show me something natural like ass with some stretch marks"Sick and tired of the Photoshop Show me something natural !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Makinikia ya vitu maalumMakamanda mnatisha kwa warembo nategemea tutamwona mjengoni 2020