Weka video mkuuwakati wewe unafikiri hivyo, wenzako wasanii wanatengeneza kama ile ya menina, kumbuka wema sepetu, Nandy, Amber rutty, miriam mabiriani wote walitengeneza na wakapata bonge la kiki, menina kafanya maksufi tu, kinacho niuma ni kuvaa ushungi na kutudhalilisha sisi waislamu safi, bora autoe u, japo dah ile mashine ya kubangulia imee vizuri, astaghafululah