Tetesi: Picha za utupu zamponza Menina, wafadhili wamkimbia, Yupo Kwao Tanga kuaguliwa

Tetesi: Picha za utupu zamponza Menina, wafadhili wamkimbia, Yupo Kwao Tanga kuaguliwa

Tunaweza kucheka na kuviona hivi vitu ni vidogo ila madhara yake kwa watoto wetu ni makubwa,jamii ndio inaharibika hivi na tunatengeneza mazingira yakuona ni vitu vya kawaida ikibidi unaomba connection uione, mwanao nae anaomba connection, binti yako nae anaona umaarufu ni kujichukua videos, tukemee hivi vitendo jamani.... Mungu atusaidie na awalinde hawa watoto wetu

Unapopost picha zako za utupu mtandaoni NA kisha watu wengi wanaziona, hivi kweli kabisa Unaweza kutoka nje ya nyumba yako au chumba chako unachoishi NA kutembea mtaani kweli?Hiyo nguvu ya kutembea mtaani utaipata wapi baada ya video yako ya utupu kuvuja mtandaoni?? Haki ya Mungu kuna watu wana vichwa vigumu visivyokuwa NA aibu hata kidogo.
Kwa kweli kama Mimi ndio nitakumbana NA mkasa WA aibu namna hii, sijui itakuwaje!! Sura yangu nitaiweka wapi??Nafikiri ndio itakuwa mwisho WA uhai wangu hapa duniani!
 
Then akifungiwa na kupanda kisutu ww unapata faida gani
 
Then akifungiwa na kupanda kisutu ww unapata faida gani
[/QUOTE]

Unauliza maswali ya kitoto sana, WTF?
 
Then akifungiwa na kupanda kisutu ww unapata faida gani

Unauliza maswali ya kitoto sana, WTF?
[/QUOTE]

Ww ndio umeongea utoto, coz umeambiwa kuna mtu kavujisha zile picha sasa yy kosa lake ni lipi? Kwani ww ujawahi kupiga picha na mpenzi wako ambayo utamani mtu yoyote aione? Acheni ushamba
 
usiniwekee ujinga na ushamba wa kitoto wa watu wa mkoani, mimi nina mume tumeoana miaka 26 iliyopita, hatuna huo ujinga, kwa maelezo haya wewe una picha umepiga ukimfirauni mwanamke, pumbav sana vijana wa kisasa.
 
Wewe una hakika huyo anayetajwa ndie aliyevujisha hizo video?huyo Malaya tu ndo maana alifurahia kujirekodi.Mwanamke mwenye akili hawezi kubali hata cm iwe karibu wakati wa starehe.Mna tabu Sana na hivyo vismartphone vyenu.
Wanawake kibao, wanaakili zao, wana Hela zao wanajirikodi, sio lazima uwe malaya ndio ujirikodi..

Gwajima sio malaya wala nini mbona alijirikodi, kujirikodi ni fantasy za mtu, kama vile wako wanaopenda kutiwa vichohoroni n
 
Ww ndio umeongea utoto, coz umeambiwa kuna mtu kavujisha zile picha sasa yy kosa lake ni lipi? Kwani ww ujawahi kupiga picha na mpenzi wako ambayo utamani mtu yoyote aione? Acheni ushamba
usiniwekee ujinga na ushamba wa kitoto wa watu wa mkoani, mimi nina mume tumeoana miaka 26 iliyopita, hatuna huo ujinga, kwa maelezo haya wewe una picha umepiga ukimfirauni mwanamke, pumbav sana vijana wa kisasa.
[/QUOTE]

Then kaa na ndoa yako acha kuleta lawama za kijinga, kila mtu ana haki na private yake so yy aliamua kuchukua video ni haki yake mjinga ni yule alivujisha so acha kumsema mennina Yan wanawake sijui nani kawaloga hampendani kabisa, sasa yy akifungwa ww ndio mume wako anakupenda zaidi?
 
jaji sema na wewe unataka kuliwa tigo sema hujampata wa kukukula ndio maana una wivu na menina, wanawake wa siku hizi usipowala tigo wanakushangaa, vibinti vya sekondar ndio usiseme vinaliwa tigo ili visipate mimba
 
UKISHAKUWA malay ni malay tu
Wote Hao washamba wapuzz kbs
Hao yafaa wapewe nyundo za kutosha

Ova
 
Wanawake kibao, wanaakili zao, wana Hela zao wanajirikodi, sio lazima uwe malaya ndio ujirikodi..

Gwajima sio malaya wala nini mbona alijirikodi, kujirikodi ni fantasy za mtu, kama vile wako wanaopenda kutiwa vichohoroni n
Mkuu Da!Samahani huyo bwana Gwajima nafikiri tunatoka nje tusije kutukanwa na waumini wake.Ila nikukumbushe mtu yoyote mwenye akili timamu hawe baba askofu au mama askofu,padre,Shekhe n.k hawezi kujirekodi wakati wa kufanya mapenzi.Wengine huenda mbali zaidi na kuzima simu kabisa.Kwa vile wazungu wamevuruga akili zetu waafrika Basi ndo haya yaliyopelekea tuvutane hapa.Mapenzi kwa mila za kiafrika ni privacy kubwa ndo maana hata watoto hawatakiwi kujua muda huu baba anadunya mama.Sasa dada wa watu kajurekodi Sasa hivi anaficha sura yake.Ukishajirekodi what next.
 
Back
Top Bottom