Tetesi: Picha za utupu zamponza Menina, wafadhili wamkimbia, Yupo Kwao Tanga kuaguliwa

Ndiyo hivyo, Menina ni sikio la kufa halikusikia dawa...

She deserved what she was looking for...

Cc: mahondaw
 
Hivi hawa vijana wa siku hizi wanafeli wapi,kwa nini na wanajua matokeo yake kwa muda mrefu maishani?Unaanikaje faragha zako hadharani?You,young men!Phew!
 
Kufanya hivi ni kosa

Ajutie na amrudie mungu wake haraka sana

Kama bado katika moyo wake hana mpango wa kuwa mpya.... ghadhabu ya mwenyezi mungu imshukie huyu binti Aamina!
 
Mkuu Da!Samahani huyo bwana Gwajima nafikiri tunatoka nje tusije kutukanwa na waumini wake.Ila nikukumbushe mtu yoyote mwenye akili timamu hawe baba askofu au mama askofu,padre,Shekhe n.k hawezi kujirekodi wakati wa kufanya mapenzi.Wengine huenda mbali zaidi na kuzima simu kabisa.Kwa vile wazungu wamevuruga akili zetu waafrika Basi ndo haya yaliyopelekea tuvutane hapa.Mapenzi kwa mila za kiafrika ni privacy kubwa ndo maana hata watoto hawatakiwi kujua muda huu baba anadunya mama.Sasa dada wa watu kajurekodi Sasa hivi anaficha sura yake.Ukishajirekodi what next.
Hiyo ni Fantasy tu kama anavyosema jamaa. Tatizo ni kuwa ikivuja ndio inakua tatizo. Watu wengi tu wanajirekodi kwa matumizi yao ya siri,ila ikivuja ndio tatizo.

Tusiplay utakatifu sana sababu yamemkuta huyo dada.
 
Labda wapo Mashehe na Ma padri wanajirikodi sema hizo video zao hazijavuja mitandaoni..

Kweli labda sio mila za Kiafrika kwa mtazamo wako, lakini kwa hapa kwetu Tz kwenye makabila zaidi ya 250,nafikiri kila mtu ana uhuru wake wa kuutumia mwili wake ananyotaka..

Matatizo yako kwa wanaojifanya wanashangaa na kustaajabu wakati wao wenyewe wanafanya makubwa ya kustaajabu...
 
We
Hiyo ni Fantasy tu kama anavyosema jamaa. Tatizo ni kuwa ikivuja ndio inakua tatizo. Watu wengi tu wanajirekodi kwa matumizi yao ya siri,ila ikivuja ndio tatizo.

Tusiplay utakatifu sana sababu yamemkuta huyo dada.
"Watu wengi tu wanajirekodi kwa matumizi yao ya siri"
ili ndilo tunalikataa,matumizi gani?kwani nyie vijana mna matatizo gani mpaka muwe mnaangalia kwanza video?
"ila ikivuja ndio tatizo."
Kwa nini liwe tatizo wakati ni Fantasy.Mkuu tunapokengeuka hatuegemei kwenye utakatifu.
 
Hiyo ni Fantasy tu kama anavyosema jamaa. Tatizo ni kuwa ikivuja ndio inakua tatizo. Watu wengi tu wanajirekodi kwa matumizi yao ya siri,ila ikivuja ndio tatizo.

Tusiplay utakatifu sana sababu yamemkuta huyo dada.

Kunywa bia 5 nitalipa, umeongea jambo la msingi sana, sio kila mtu anataka kujifanya yy ni Bikira malia
 
Labda wapo Mashehe na Ma padri wanajirikodi sema hizo video zao hazijavuja mitandaoni..
Kweli labda sio mila za Kiafrika kwa mtazamo wako, lakini kwa hapa kwetu T
"lakini kwa hapa kwetu T"Kwa hiyo yanakubalika?Ndo maana tunavutana kwa sababu hapa kwetu hayakubaliki.
(Labda wapo ) Huna uhakika lakini huyu mwanamke kajurekodi na imerushwa.
 
Kwani pale wako watu 2 au mtu mmoja? Mbona shutuma zote ni kwa mtu mmoja?
 
"lakini kwa hapa kwetu T"Kwa hiyo yanakubalika?Ndo maana tunavutana kwa sababu hapa kwetu hayakubaliki.
(Labda wapo ) Huna uhakika lakini huyu mwanamke kajurekodi na imerushwa.
Kama hapa TZ yanakubalika au hayakubaliki, mwili wangu ni wangu nataka nikutumie ninavyotaka..

Nini wengine wanafanya sio tatizo langu, huyo alierusha hiyo video ambayo ilikuwa faragha ni mshamba wa kama walivyo Watanzania wengi
 
Back
Top Bottom