Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
- Thread starter
- #21
Hii ipo kisheria nadhani, na inatakiwa iwekwe ile ambayo imetoka watu walioidhinishwa kufanya hivyoNa picha za raisi aliye madarakani na Nyerere kwenye ofisi za watu binafsi ni takwa la kisheria?