Picha za WAJUMBE : Je, unayo moja? Hebu weka hapa tuwaone...

Picha za WAJUMBE : Je, unayo moja? Hebu weka hapa tuwaone...

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Hawa wajumbe wanaanza kujizolea umaarufu wa ajabu na picha zao zimeanza ku trend mitandaoni kama huna moja ama huwajui waulize wagombea wa chama
Mkuu Pascal Mayalla anaweza kukupa abc zao hao wajumbe[emoji23][emoji1787]
JamiiForums930607097.jpg


Jr[emoji769]
 
Wajumbe wamemtumia steve nyerere week tatu mfululizo anawalisha na kuwapa hela, kisha wakampatia kura 6 tuu...wajumbe ni nyoko
Mungu anawaona[emoji1787]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom