Picha za warembo siku ya Valentine

Hayo ni mambo ya kulee kwenye mji wenye SATo wa kumwaga hapo Dar ilikuwaje siku hii ya wapendano??
 
Mbona warembo wamekomaa hivyo... hasa miguu....ni wafugaji kule Ibinzamata nini??
 
Sijaona mrembo hapo.
Hawa tunawaita warembo? Mbona wanaonekana ni kina mama!
 
mmmh ivi radi ckuizi hamna?maana hizo nguo nyekundu duh!but kuna mmoja hapo namfaham sana
 
Mh! Mbona yote ni mamamba tu hayo....Sorry!!!
 
<script type="text/javascript">Y.E.onDOMReady(show_notes_initially);</script>
<script type="text/javascript">F.decorate(_ge('photo_notes'), F._photo_notes).notes_go_go_go(2251703569, 'http://farm3.static.flickr.com/2036/2251703569_4d2bdc26d6_t.jpg', '3.1444');</script> <form id="fave_form" style="visibility: hidden;" method="post"><input value="84585c1952cbc18a5cda2b05ba98fd9b" name="magic_cookie" type="hidden"><input value="0" name="faveadd" type="hidden"><input value="0" name="faveremove" type="hidden"></form>

<!-- PHOTO CONTENT: DESCRIPTION, NOTES, COMMENTS -->
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…